Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Hajakumention wewe lkn, amesema aliyetayar. Means atakayeridhia her being single mother and atakayekuwa tayar kuwa baba wa mtoto wake. So kama wewe huwez bas huenda yupo atakayewezaAiseeeee. Ngoja tuone. Ila kuoa Single mother hapana labda aje dealth certificate ya mme wake. Tofauti na hapo hapana
Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.
Wacha niishie hapa mkuu
Ndo na mm natoa Vigezo vyangu. Maana ajaandika icho kigezo alichokumbuka yeye ni kusema ana degree na anataka man wa diplomaHajakumention wewe lkn, amesema aliyetayar. Means atakayeridhia her being single mother and atakayekuwa tayar kuwa baba wa mtoto wake. So kama wewe huwez bas huenda yupo atakayeweza
Kutumia fake id sio kigezo cha kumkwaza mwenzako. Huwez jua kwa nn ameandika uzi huu.Nikuambie kitu. Watu kuongea pumba not mean that we are not conscious. Noo. Ni vile mtu unalichukuliaje suala la mwenzio. Pia issue kubwa ni kuwa tunatumia Fake ID. So i can comment madness whenever
Naomba niunge mkono kwa hoja yako hii mujarab kabisa....Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.
Wacha niishie hapa mkuu
Kutumia fake id sio kigezo cha kumkwaza mwenzako. Huwez jua kwa nn ameandika uzi huu.
Hahahaaa, ni kweli mkuu tunatakiwa kwenda nao taratibu, ila muda mwingine ninaloose temper, aagh!!Muulize tu polepole mkuu, unajua hawa wamama tulikabidhiwa tuishinao kwa akili....
Na, usisahau kamba hakuna bofolo ngumu kwa sitrungi.....tehteehh
Yeah let her choose what she wants, kuwa na shida haimaanishi uchukue hata vibovu/visivyofaa(sorry to say that)Hata yeye anakwaza watu. Mtu ana shida bado vikwazo kibao. Mara degree mara ninii. Hadi kuna wadau wamemkatia tamaa maana hawa qualify
Naomba niunge mkono kwa hoja yako hii mujarab kabisa....
Easy chief......Hahahaaa, ni kweli mkuu tunatakiwa kwenda nao taratibu, ila muda mwingine ninaloose temper, aagh!!
Hicho kitu kinaboa sana, aliwaambia ndoa ni degree au urefu au ajira ni nani? Kama mtu ana masharti sana akatafute mtaani, sio kutoa tangazo utafikiri nafasi za kazi!!Hata yeye anakwaza watu. Mtu ana shida bado vikwazo kibao. Mara degree mara ninii. Hadi kuna wadau wamemkatia tamaa maana hawa qualify
Uko safi sana kichwan. Nimekupenda tu. Ungekuwa karibu ningeku chumuMkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.
Wacha niishie hapa mkuu
Well done chief.....Uko safi sana kichwan. Nimekupenda tu. Ungekuwa karibu ningeku chumu
I just like her. Wish I could touch her. She is very good up stairs.Well done chief.....
Hizi ndizo maneno zenye vijana wanapaswa kuanza nazo, na hata hupelekea hawa viumbe wakalegeza masharti.
There you go....tehteehh
Uko safi sana kichwan. Nimekupenda tu. Ungekuwa karibu ningeku chumu
Haya Single Father,Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Keep on pushing and roll the ball...[emoji4] [emoji4]I just like her. Wish I could touch her. She is very good up stairs.
Tena ngumu hasaYaani hapa sijaelewa.
Anataka mtu wa kumuongezea mtoto au mtu wa kuwa baba wa mtoto ambaye alishazaliwa?
Lugha ngumu hii
Wewe hutaki kuwa baba wa mwanae?[emoji848]Kila la kheri
Ubaba wa hiari siyo ?Ana mtoto tayari anataka uwe baba wa huyo mtoto![emoji30][emoji30][emoji30]