Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Aiseeeee. Ngoja tuone. Ila kuoa Single mother hapana labda aje dealth certificate ya mme wake. Tofauti na hapo hapana
Hajakumention wewe lkn, amesema aliyetayar. Means atakayeridhia her being single mother and atakayekuwa tayar kuwa baba wa mtoto wake. So kama wewe huwez bas huenda yupo atakayeweza
 
Nikuambie kitu. Watu kuongea pumba not mean that we are not conscious. Noo. Ni vile mtu unalichukuliaje suala la mwenzio. Pia issue kubwa ni kuwa tunatumia Fake ID. So i can comment madness whenever
Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.

Wacha niishie hapa mkuu
 
Ndo na mm natoa Vigezo vyangu. Maana ajaandika icho kigezo alichokumbuka yeye ni kusema ana degree na anataka man wa diploma
 
Nikuambie kitu. Watu kuongea pumba not mean that we are not conscious. Noo. Ni vile mtu unalichukuliaje suala la mwenzio. Pia issue kubwa ni kuwa tunatumia Fake ID. So i can comment madness whenever
Kutumia fake id sio kigezo cha kumkwaza mwenzako. Huwez jua kwa nn ameandika uzi huu.
 
Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.

Wacha niishie hapa mkuu
Naomba niunge mkono kwa hoja yako hii mujarab kabisa....
 
Muulize tu polepole mkuu, unajua hawa wamama tulikabidhiwa tuishinao kwa akili....
Na, usisahau kamba hakuna bofolo ngumu kwa sitrungi.....tehteehh
Hahahaaa, ni kweli mkuu tunatakiwa kwenda nao taratibu, ila muda mwingine ninaloose temper, aagh!!
 
Hata yeye anakwaza watu. Mtu ana shida bado vikwazo kibao. Mara degree mara ninii. Hadi kuna wadau wamemkatia tamaa maana hawa qualify
Hicho kitu kinaboa sana, aliwaambia ndoa ni degree au urefu au ajira ni nani? Kama mtu ana masharti sana akatafute mtaani, sio kutoa tangazo utafikiri nafasi za kazi!!
 
Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.

Wacha niishie hapa mkuu
Uko safi sana kichwan. Nimekupenda tu. Ungekuwa karibu ningeku chumu
 
Well done chief.....
Hizi ndizo maneno zenye vijana wanapaswa kuanza nazo, na hata hupelekea hawa viumbe wakalegeza masharti.
There you go....tehteehh
 
I just like her. Wish I could touch her. She is very good up stairs.
 
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Haya Single Father,
Sijui Wapo!
 
Back
Top Bottom