mambo mengine yanatia kichefuchefu@dronedrakeHAHHAHAHAHHAHAHAA we jamaa magu anakuona
Mara nyingi naonaga michango yako ya utani utani mwingi.Duhhh.....
Pamoja na mshangao kidogo, ebu kwanza naomba niseme asante..... Kabla sijaambatanisha na swali.
Kwanini umejishangaza, na kisha kuuliza kama kuna wakati ninakuwa na comments/mawazo ama maoni chanya...!!??
Yaani niwe baba wa bao la mwenzangu!!Ana mtoto tayari anataka uwe baba wa huyo mtoto![emoji30][emoji30][emoji30]
Mtu mwenyewe single mother halafu masharti kibao mara degree nenda kaolewe na UDSM
Unalo litafuta utalipata..Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Habari DadaAliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.