Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Hakuna nafasi ya malezi ya ba mkubwa au ... babu wa mjini? Tunapenda itwa babu but achually ni baba maana tunamlea mamake kwa idara zote. PM Tafadhali.
 
Duhhh.....
Pamoja na mshangao kidogo, ebu kwanza naomba niseme asante..... Kabla sijaambatanisha na swali.
Kwanini umejishangaza, na kisha kuuliza kama kuna wakati ninakuwa na comments/mawazo ama maoni chanya...!!??
Mara nyingi naonaga michango yako ya utani utani mwingi.
 
wewe ni mpuuzi sana, unatafta baba wa kulea mwanao na unaweka vigezo?
huyo baba utamlipa hadi uweke vigezo?
ndio masna uliachwa
 
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Unalo litafuta utalipata..
 
Habari Dada

Unaweza kuni inbox tafadhali!!
 
Back
Top Bottom