Ukimpata mzuri tujuzane maana wangne tunawatafutebado
Heshima kwenu!!!
kiukweli nipo siriaz si hitaji mzaha wa kupotezeana mda.
kwa wanasaikolojia wote mliopo humu jamii forum nawaombeni pindi mtapo kuwa free mnisaidie tatizo langu.
shida yangu kuu nisaidieni namna ya kumliwaza mtu aliejichukia na kuamua kujitenga hataki kukaa na watu. yaani ni mkali hata namna ya kumsogelea unashindwa.
ombi kuu mnipe mbinu za kumtoa katika hali yake taratibu maneno ya kumfariji vitu vya kumfanyia n.k ili atoke katika hali hiyo inaniuma sana ndugu yangu huyu kuamua kujichukia / kujitenga hata simu hapokei katu blacklist.
msaada wenu wanasaikolojia.[/Q
Wewe ndo mwenye shida kubwa sana fanya haraka uende kutibiwa
Aisehhh unaonekana ni mbobez..Nitafute...i'm serious
umenimumbusha mbali mkuu...Ukizembea atajiua huyo
Huyo jamaa yako Hana rafiki?ongea na rafiki yake wa karibu amliwaze atamueleza shida yake Kisha asaidiwe.lakini kwa kawaida ya wanna wake wlio wengi akijua tatizo la mume au jamaaa yake badala ya kumsaidia atamsimanga Hadi ajute kumwelezaupendo utauoneshaje wakati ni mkali hasogeleki? ndo maana nalia na wanasaikolojia wanisaidie teknic za kufanikiwa kumuingia nijue tatizo.
asante mkuu nimemta boss wake wa zaman ajaribu kuongea nae jumapil hiiKwanza poleni, pia kwa ushauri ni kwamba kwa msaada haraka na uhakika inahitajika huyo psychologist kuyafahamu vilivyo mazingira ya huyo mtu, chanzo cha tatizo, ukaribu wenu na wapi pa kuanzia yaani panahitajika information nyingi, na kufuatilia maendeleo kila siku kitu ambacho kwa mtu aliyembali au busy ni ngumu kufanya ipasavyo.
Hivyo basi ukikosa mwanasaikolojia (maana ni adimu), tafuta hata daktari hospital ambaye atakuwa tayari ku'deal na huyo mtu nje ya ratiba za kazi, ukimpata mtaalamu wa afya ya akili itapendeza zaidi hata kama ni nesi atafaa.
Ukikosa kabisa mtu wa kuwasaidia na hali ikiwa haina unafuu basi tuwasiline japo si psychologist by profession, ila taaluma inaruhusu, ile kumfuatilia kwa ukaribu napo naweza nisiwe na hiyo nafasi.
naomba usome reply za juu utaeleewaHuyo jamaa yako Hana rafiki?ongea na rafiki yake wa karibu amliwaze atamueleza shida yake Kisha asaidiwe.lakini kwa kawaida ya wanna wake wlio wengi akijua tatizo la mume au jamaaa yake badala ya kumsaidia atamsimanga Hadi ajute kumweleza