Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter.
Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi na ikiwezekana awe na mtoto mmoja tuishi pamoja na kulea watoto wetu kwa upendo na amani tele. Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia. waweza wasiliana na mimi kwa kupitia matyshirima@gmali.com
Ngoja na mimi nizungukezunguke kwanza halaf n'tafikiria..Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia
Baba wa mtoto yupo ana kazi nzuri tu na mtoto anamhudumia kama kawaida mtoto wetu anasoma boarding na yeye ndio analipa ada na mahitaji mengine muhimu ya mtoto ila sometimes akikwama huwa na mimi inabidi nimsaidie. Na kwa alieniuliza kwa nini baba wa mtoto hatukai nae ni kwa sababu ilitoke bahati mbaya katika ugirlfriend na uboyfriend miaka ile ndio ujauzito ukatokea na mtoto kuzaliwa hatukuwa tumepanga ilitokea tu accidentaly i think we were not ment to be together hakuwa ubavu wangu ila mtoto wetu kama nilivyosema 2namtunza wote vizuri tu na yeye alishaoa mke mwingine na anamaisha yake.Naomba niulize ifuatavyo;
- Baba wa huyo mtoto mmoja yuko wapi na anajishughulika na nini? Kama amefariki, lini na kwa nini?
- Iwapo sina sifa ulizotaja; yaani sijataliki wala sijafiwa na mke, na nipo interested, itakuwaje?
- Unadai umezungukazunguka na sasa unataka kutulia...! Umezunguka hadi wapi? Umekutana na wangapi? Na je, unamaanisha bado hujatulia, lakini sasa unataka kutulia?
- Kazi unayofanya ni ipi? Bar maid, clerk, biashara ya ...., ufundi wa ...., n.k
- Kwa sasa unaishi wapi? Dar, Arusha, Mombasa .....
- What is your current health status?
Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter.
Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi na ikiwezekana awe na mtoto mmoja tuishi pamoja na kulea watoto wetu kwa upendo na amani tele. Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia. waweza wasiliana na mimi kwa kupitia matyshirima@gmali.com
Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter.
Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi na ikiwezekana awe na mtoto mmoja tuishi pamoja na kulea watoto wetu kwa upendo na amani tele. Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia. waweza wasiliana na mimi kwa kupitia matyshirima@gmali.com
Ngoja na mimi nizungukezunguke kwanza halaf n'tafikiria..
Maty hongera kwa kuvunja ukimya!wengi wana tatizo kama lako wanaona aibu kujitokeza hadharani....
wewe konakali kama una interest m PM au kama vipi omba e mail au phone number atakujibu maswali yako...asimwage mchele kwenye kuku wengi.....
Hongera Maty kwa ujasiri wa kusema. Usisahau kumuomba Mungu pamoja na mizunguko yako!
Nadhani hii email accountimeisha kuwa overloaded, Kila nikijaribu kutuma maombi kwa niaba ya rafiki yangu Fidel naona zanirudia.PHP:matyshirima@gmali.com