Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

.....homu boi tupe maendeleo.......bana! umegeuza hiyo ...GMALI to gmail ikagoma pia?

Nisha tuma maombi tayari nasubilia majibu sijui atanifikiria endeleeni kunipigia debe homu boi
 
Hahahahaha homu boi usitake kunikumbusha zama zile jamani maana ilifikia kipindi nikawa nakimbiwa....

.....Heheeeeeee...thatha homu boi ukimpata huyu ....inshallah....punguza madoido.....:lol:
 
.....Kudadadeki hapa bibie katuingiza town aiseeeee.......ebuu chunguzeni hiyo email vizuri.....! hakuna GMALI but gmail bana.....Mchungaji SITUKA hapo.....! vinginevyo bibie aombe msamaha keyboard ilitikisika sana wakati anaweka hiyo email.....!


Kweli bwana hakuna gmali, bali gmail.......! Hata hivyo hakutaka kusema yuko wapi. Hivyo ni vigumu sana kumpata....! Hakuna lolote hapa, mtoto kaamua tu kupima njaa....! Sipati picha, atakuwa anavunjika mbavu sasa...!
 
Najaribu kukeme lakini bado! Nguvu ya shetwani ni kubwa. Ila aweke na namba ya simu ili niongee naye kwa niaba ya Fidel80

Rev. kama itakupendeza naomba uache kumpigia debe Fidel, na kama utafanya maombi basi yalenge kutofanikiwa kwake ktk hili, halafu nikija ktk maombi nitakwelezea sababu mtumishi.
 

Mimi nimeacha na nina mtoto wa miaka mitatu namlea mwenyewe ila dini yangu nahisi ni tofauti na wewe.
 

Nimeipenda hiyo
 
dada naamini humaanishi iyo heading yako,taratibu dada
weee omba Mungu akupe mume mwema na jichanganye na watu maan ndiko watokako,hatashuka toka juu...ila heading yako NO pliz
 
Wanaumeeeeee! hivi mwanamue suruali ni yupi??:confused2:
Maana US ili mradi umesoma na unaweza kukaaa na watoto ukawafundisha a,b,c kina mama walioachika wenye mipesa na kazi nzuri watakutamani kweli ukakae ule bure,uogeshwe,upewe penzi etc kazi yako ni kumpeleka mtoto skuli na kucheza nae na kuhakikisha nyumba iko safi.
Nyumbani ndio mwanaume suruali???
 
Jamani akisema amezunguka zunguka haina maana mbaya..Wanawake wengi wanadanganywa anapata mtu akitegemea watakuwa pamoja kumbe mwenzie anafanya mapoozeo sasa akijaribu na mwingine na mwingine anakuta hali ni ile ile huko sio kuzunguka jamani. Maty usivunjike moyo utampata mungu atakujalia mmoja.Muhimu labda ukifahamisha wapi unaishi kama ni Tz. au ni nje ya nchi kama ni nje ya nchi Europe au North America(States & Canada), Asia(China Japan, India,Malaysia etc) au Middle East????.all the best my dear....hata mimi natafuta mmoja wa namna hiyo haupo peke yako lol!
 
... nina uwezo wa kujitimizia mahitaji yangu muhimu
Umeacha kuzungukazunguka kwa sababu unasema unaweza kujitimizia mahitaji yako mwenyewe.

Mume wa nini?
 

Pakawa mungu akubariki wewe na matty mpate kabla ya xmass hiyo ijayo......hata mkipata mungu awape nguvu kuwatunza manake hawa wavaa suruali kuwapata ni kazi rahisi kuliko kuwafanya waendelee kuwa wako pekee............wanapenda kututafutia wagombea wenza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…