Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
.....homu boi tupe maendeleo.......bana! umegeuza hiyo ...GMALI to gmail ikagoma pia?
Nisha tuma maombi tayari nasubilia majibu sijui atanifikiria endeleeni kunipigia debe homu boi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....homu boi tupe maendeleo.......bana! umegeuza hiyo ...GMALI to gmail ikagoma pia?
Hahahahaha homu boi usitake kunikumbusha zama zile jamani maana ilifikia kipindi nikawa nakimbiwa....
.....Kudadadeki hapa bibie katuingiza town aiseeeee.......ebuu chunguzeni hiyo email vizuri.....! hakuna GMALI but gmail bana.....Mchungaji SITUKA hapo.....! vinginevyo bibie aombe msamaha keyboard ilitikisika sana wakati anaweka hiyo email.....!
.....Heheeeeeee...thatha homu boi ukimpata huyu ....inshallah....punguza madoido.....:lol:
Ila nimeshauri Fidel kwanza ampime kila kitu na asijaribu ule mchezo wake! Arudie tena kipimo kikubwa baada ya miezi mitatu. Kama itakuwa poa basi ajiexpress kurudi nyuma.
Najaribu kukeme lakini bado! Nguvu ya shetwani ni kubwa. Ila aweke na namba ya simu ili niongee naye kwa niaba ya Fidel80
Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter.
Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi na ikiwezekana awe na mtoto mmoja tuishi pamoja na kulea watoto wetu kwa upendo na amani tele. Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia. waweza wasiliana na mimi kwa kupitia matyshirima@gmali.com
kama ukiwa na nia mbaya e-mail inakataa ila kama huko serious inaenda
Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter.
Nimekaa najisikia mpweke nahitaji mwanaume ambaye ameshataliki au mkewe bahati mbaya amefariki lakini sio na ukimwi na ikiwezekana awe na mtoto mmoja tuishi pamoja na kulea watoto wetu kwa upendo na amani tele. Kama uko interested na uko serious kwani sihitaji uhusiano wa kupita nahitaji strong relationship nimezunguka zunguka sasa nahitaji kutulia. waweza wasiliana na mimi kwa kupitia matyshirima@gmali.com
Umeacha kuzungukazunguka kwa sababu unasema unaweza kujitimizia mahitaji yako mwenyewe.... nina uwezo wa kujitimizia mahitaji yangu muhimu
Jamani akisema amezunguka zunguka haina maana mbaya..Wanawake wengi wanadanganywa anapata mtu akitegemea watakuwa pamoja kumbe mwenzie anafanya mapoozeo sasa akijaribu na mwingine na mwingine anakuta hali ni ile ile huko sio kuzunguka jamani. Maty usivunjike moyo utampata mungu atakujalia mmoja.Muhimu labda ukifahamisha wapi unaishi kama ni Tz. au ni nje ya nchi kama ni nje ya nchi Europe au North America(States & Canada), Asia(China Japan, India,Malaysia etc) au Middle East????.all the best my dear....hata mimi natafuta mmoja wa namna hiyo haupo peke yako lol!