Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo na ww ni hanithi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo uwe mke wa pili kwa sababu kwako ntakuwa nalala tu mechi nacheza kwa bimkubwa
 
Njoo uwe mke wa pili kwa sababu kwako ntakuwa nalala tu mechi nacheza kwa bimkubwa
Nimejitahidi sana nisikutukane, kabla ujafa haujaumbika. Unanidhiaki na kunidharau kwani haya matatizo niliyataka mimi? Nimpango wa Mungu mtu kuwa jinsi alivyo au atakavyo kuwa baadae. Ninakuombea upate ulemavu mkubwa mzito sana halafu watu wakudhihaki na kukudharau kama unavyonifanyia mimi mpaka siku unakwenda kaburini na unayotaka kuwafanyia wengine ufanyiwe wewe. Haya maneno yaifadhi kwa kumbukumbu ya baadae.
 

pole sana
 
Wewe ni Mwanaume ?? Au kavulana ?
Nifafanulie.
 
Pole sana .But dawa si zipo au??!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…