Nahitaji mwanaume hanithi

Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Huyu anataka support ya sikukuu tu na yupo kikazi zaid
 
HAWA WANAWAKE WENGI WANA MIDUSHEE YA KUFA MTU WANAITWAGA "SHEMALE"
 
Samahani sana mkuu, sikuwa nimeelewa vizuri post yako, sasa nimekuelewa na kweli nilikurupuka kujibu bila kupata uelewa wa kina, Mungu akuepushe na mabaya niliyotamka maana nimeyabatilisha kwa kinywa changu, samahani kwa mara nyingine tena.
Kaka hata Kama una matatizo huyu mwanamke hakufai tafuta mwingine, yeye ni msagaji na hapo anaujutia usagaji alioufanya
Usikubali kushiriki laana yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom