[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchokozi huoHasa wa Dar.!
Hao wote from Dar..Tz
Ila umemsahau mmoja yule naniliu ambaye wanahisi anatafunwa na mabosi wake.
Ushampata?Nadhani ni asiyedindisha...
doh!Mara moja tu
Kaka hata Kama una matatizo huyu mwanamke hakufai tafuta mwingine, yeye ni msagaji na hapo anaujutia usagaji alioufanyaSamahani sana mkuu, sikuwa nimeelewa vizuri post yako, sasa nimekuelewa na kweli nilikurupuka kujibu bila kupata uelewa wa kina, Mungu akuepushe na mabaya niliyotamka maana nimeyabatilisha kwa kinywa changu, samahani kwa mara nyingine tena.