majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 567
........Unadhania ukiwa nao hao ndo utazaa mtoto kama Nwanko Kanu au Asamoah Gyan? Endelea tu uje kuzaa nao mtoto type ya Boko Haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, kuna wanawake wengine upstairs hampo sawa.
Madam b i do respect you ila hapa umebug. Hivi hii mijitu unaijua vizuri kweli?
Kweli umeichoka papuchi yako
Wew mtu upo tanzania hii?Sina sharti lolote wala siangalii kigezo chochote ili mradi uwe na pesa.
Asanteni
Madame B
Sina sharti lolote wala siangalii kigezo chochote ili mradi uwe na pesa.
Asanteni
Madame B
Sasa hiyo pesa sio shartSina sharti lolote wala siangalii kigezo chochote ili mradi uwe na pesa.
Asanteni
Madame B
Hivi unapokea kiasi gani kwa kuandika upuuzi huu?Nilijua tu Wanawake wa Tanzania wanshindwana na Wanaume watoto wa chadema sasa wanatoka nje, chadema ni watoto sana hata nashangaa wanaendeshaje familia, fikiria watu wanaombea ndege yetu ianguke wakifikiri wanamkomoa Magufuli, wanachekelea tetemeko la ardhi lililoathiri nchi yetu hivyo nawaelewa Wanawake wakikataa wanaume wa Tanzania ni watoto sana hasa chadema!