Nahitaji Mwanaume mwenye nia ya dhati

Umri kila siku unatukosesha wake ambao ni wife material hivi hivi, nakushauri ukipata mwanaume wa kuanzia 28 uliyempenda oaneni, umri wako sio wa uchumba tena unahitaji uishi na mtu ndani muwe na maisha yenu. if interested hit me DM kwa ushauri tu. mimi tayari nina mtu nishampromise kuwa naye,
 
wanawake wa dar mjarib kutembea na mikoani sio mkikosaga wanaume dar mnakmblia jf buan Tanzania kubwa
 
Elimu yako ni Bachelor of Degree Mkuu?

Hongera sana.
 
Setigo imekuwaje kwani yule shemeji ameleta upunguani?
 
Tukiwaomba no barabarani hamtoi no mnakuwa wakali ona sasa kigezo cha miaka kinanikosesha mke bora.
 
Na Mimi natafuta mchumba wa kike baadae awe mke wangu sifa awe anapumua tu, asiwe marehemu. Kuhusu sifa nyingine aji-judge mwenyewe, kwa anaehitaji niwe Mme wake karibu PM.

Angalizo ukipitia niliyowahi kupost wala yasikuangaishe fikra hapa sio maisha halisi. Karibu.

NB: financial services nakuomba ujiongeze kwa kweli!!
 
Watakapokuja pia utuambie kama tatizo limekwisha.
 
Sawa
Your browser is not able to display this video.
 
njoo pm tuyajenge
 
Kwani kasema ana mtoto?

Mi nimeona tu ana bachelor of degree...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…