Nilikua na nia ya dhati ila uandishi wako kama ndivyo ulivyo utawamaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
razima =lazimauogaji unategeme ila jua kama unapenda matusi Mungu akusaidie. jua unamfuraisha shetan sio razima unitukane ndo ufurai
Mungu anipe nini Mimi jamani!naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
yaani ushazeheka bt unaleta masharti!naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Una 32 na umefika hiyo 32 kutokana jeuri yako ya kutaka haki sawa, hakuna haki sawa baina ya mke na mume na kama Mungu angetaka haki sawa iwepo basi asingetofautisha jinsia zetu.kuweka mezani sio shida ntaweka ila ajue kutakuwa na haki sawa akitaka nimnyenyekee awe tayari kunitunza kama mke