Nahitaji mwanaume shupavu kwa ajili ya kunilinda kesho kwenye fiesta Dodoma

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.

Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.

Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.
 
Nimejikuta nakumbuka maisha ya "disko" kila mtu anachunga "ng'ombe" waharibifu wasile majani
 
Mchukue RC wa mkoa wako,wanaaminika kwa masuala hayo hasa huku kwetu Dar.
 
Ungekuwa dsm ungempata wakukupa kampani automatically. Wanaume wa idodomya sijui wanafanya nini?¿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…