BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Wengine tunatoa ulinzi ma saa 24,kwa iyo uko tayari, ntakua na wewe kila siku 24/7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha kwanza huko nyuma tuone kama panalipa afu ndo tutaku pm.Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.
Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.
Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.
Uliza hapa utamjua........Ndo yupi
"nitakulinda"Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.
Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.
Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.
Nenda kuburudike na kinanaHakuna fujo.
Ukitaka kufurahia mtoko lazima uwe na kampani nzuri mkiwa na lengo moja nalo ni kuburudika.
picha yangu unaweza kukimbia mwili una misuli kama simba dumeKesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.
Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.
Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.