Nahitaji mwanaume wa kuoana naye

Nahitaji mwanaume wa kuoana naye

Habari zenu

Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes

Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above

Aliye tayari aje PM for more information asanteni
Kila la kheri mkuu
 
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.

Wanaume wachache sana wanajielewa humu

Its true,waangalie lugha zao...no respect for women at all...sasa huyu ndio unataka nae ndoa..badala ya kupata furaha..unatafuta mengine..
 
Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.

Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi

Kumbuka ana umri wa miaka 30! Umri huu kama ni nyani, basi anakuwa amekwepa mishale mingi. Huwezi jua, utashangaa mtoa mada anapata mume mwema kabisa aka husband material kama mimi!

Wewe umeamua kutotoka na mtu yeyeto kutoka humu jukwaani! Huo ni uamuzi wako, na utaheshimiwa. Ila hauwezi kuwa msimamo wa wajumbe wote.
 
Its true,waangalie lugha zao...no respect for women at all...sasa huyu ndio unataka nae ndoa..badala ya kupata furaha..unatafuta mengine..

Siyo wote! Na siku zote watu walio serious, siyo lazima wachangie. Mtoa mada ameshawaruhusu kumfuata pm, You never know!! Kwenye msafara wa mamba, na kenge hawakosekani.
 
Habari zenu

Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes

Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above

Aliye tayari aje PM for more information asanteni
Dini imeninyima mke.
 
Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.

Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
ha ha ha ngoja tuonje kwanza,tuangalie kama ladha ipo
 
Habari zenu

Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes

Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above

Aliye tayari aje PM for more information asanteni

Assalam aleykum , Bint kanga.

Samahani, kwanza hiyo heading mimi sijaielewa, unasema unahitaji mwanaume wa KUOANA NAYE au mwanaume wa KUKUOA, (yaani wa kufunga ndoa naye)??!
 
Yeye ndo amefanya application juu ya hilo hajaanzwa kutongozwa ameomba yeye ampate wa ndoa naye...Hii inakuwa imekaaje mkuu?Ataolewa au ataoana kwa sababu yeye ndo Source of relationship, naomba elimu zaidi juu ya hili mkuu.

Mkuu, Mimi nadhani, ni makosa ya Lugha tu, alitaka kusema anatafuta mwanaume atakaye muoa au atakayefunga naye ndoa. Hapo sasa baada ya ndoa yeye anakuwa kaolewa na Mwanaume anakuwa ameoa.

Kinyume chake kama ni Yeye anatafuta mwanamume na akaenda kutoa posa na mahari basi hapo baada ya ndoa yeye anakuwa ameoa na huyo mwanaume anakuwa ameolewa, ambalo ni jambo la nadra sana kutokea, ila kwa Wakurya kuna kitu kinaitwa ndoa Ntobe, yaani mwamke anakwenda kuoa binti na anamtafutia mwanaune wa kumzalisha watoto wakipatikana wanakuwa ni mali ya huyo mwanamke "aliyemuoa" huyo binti na huyo mwanaume anakuwa hana chake.🤣🤣

Wakurya bwana, Watani zangu.
 
Kati yao hao wachache wenye hekima mi ndiye mkuu wao, au siyo Mama? [emoji87]
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.

Wanaume wachache sana wanajielewa humu
 
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.

Wanaume wachache sana wanajielewa humu
Mwache katika hao wachache anaweza pata mwenye busara kama mimi.
 
Its true,waangalie lugha zao...no respect for women at all...sasa huyu ndio unataka nae ndoa..badala ya kupata furaha..unatafuta mengine..
Humu kuna wanaume wana midomo over mwanamke wa uswazi, anasahau kuwa ana ndugu wa kike na Mungu either amemjalia/atamjalia mtoto wa kike.
 
Binti Kanga kila la kheri dear, utapata aliye wako.
 
Wewe NI mzungu au Mwafrika,hivi Afrika kina kuoana au mwanamke anaolewa!
 
Back
Top Bottom