Kila la kheri mkuuHabari zenu
Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes
Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above
Aliye tayari aje PM for more information asanteni
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.
Wanaume wachache sana wanajielewa humu
Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.
Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
Its true,waangalie lugha zao...no respect for women at all...sasa huyu ndio unataka nae ndoa..badala ya kupata furaha..unatafuta mengine..
Dini imeninyima mke.Habari zenu
Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes
Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above
Aliye tayari aje PM for more information asanteni
ha ha ha ngoja tuonje kwanza,tuangalie kama ladha ipoPole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.
Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
Achane roho mbaya PriscalliaIts true,waangalie lugha zao...no respect for women at all...sasa huyu ndio unataka nae ndoa..badala ya kupata furaha..unatafuta mengine..
Habari zenu
Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes
Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above
Aliye tayari aje PM for more information asanteni
Assalam aleykum , Bint kanga.
Samahani, kwanza hiyo heading mimi sijaielewa, unasema unahitaji mwanaume wa KUOANA NAYE au mwanaume wa KUKUOA, (yaani wa kufunga ndoa naye)??!
Yeye ndo amefanya application juu ya hilo hajaanzwa kutongozwa ameomba yeye ampate wa ndoa naye...Hii inakuwa imekaaje mkuu?Ataolewa au ataoana kwa sababu yeye ndo Source of relationship, naomba elimu zaidi juu ya hili mkuu.
Wivu tu.Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.
Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.
Wanaume wachache sana wanajielewa humu
Mwache katika hao wachache anaweza pata mwenye busara kama mimi.Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.
Wanaume wachache sana wanajielewa humu
Humu kuna wanaume wana midomo over mwanamke wa uswazi, anasahau kuwa ana ndugu wa kike na Mungu either amemjalia/atamjalia mtoto wa kike.Its true,waangalie lugha zao...no respect for women at all...sasa huyu ndio unataka nae ndoa..badala ya kupata furaha..unatafuta mengine..