Nahitaji mwanaume wa kuoana naye

Naitwa nuhu
Nnamiaka 24
Nna level 3ya elections
Nipo siriazi kabsa
 
Hataki kuolewa anataka kuoana, ndio maana bado hajapata mume !
Anaonekana amekaa mtata mtata.
FaizaFoxy nae anasemaga hajaolewa ila kaoana na mume wake

na huyu nae hataki kuolewa anataka kuoana,ki ufupi usimpeleke peleke

kama unasukuma baiskeli ni mtata mtata kama maza angu faiza.
 
Sijawahi na sitarajii kutoka na mwanaume wa humu. Natoa tu angalizo vijana wengi wa kiume wa humu hawana maadili na hekima na yote nimeweza kuwajua kwa michango yetu.

Wanaume wachache sana wanajielewa humu
kwa maana hiyo ndio ushanichinjia baharini

najutaaaaaa mimi kukufata pm kujibebisha kote kule

umeamua kuweka jibu langu hapa,sawa P jizazi yupo yethu wangu ananiona.
 
Leta picha tukuone pengine una chunusi kama fenesi
 
Pole binti khanga. Humu ndani utapata walaghai wa mapenzi hakuna mwanamme alie serious kukuoa wewe.

Kama watafuta magonjwa na msongo wa mawazo wape hiyo nafasi
Vipi umepata magonjwa mangapi kutoka humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…