habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni 1gram kwa tani hadi 5gram kwa tani inategemea ni duara lina urefu gani lkn maduara yanapata miamba yakiwa na miters 3-5. Kwa atakaye penda uchimbaji naomba tuwasiliane.