Nahitaji mwenye diagram ya IST 1NZ FE na 2nz FE

hahahaha unaona sasa ulikuwa navyo na hukuweza kuvitunza sababu ulivipata kwa slope sana..ungeviacha pale ofisini mpaka leo vingekuwepo shida madogo nyie wabinafsi sana..ofisin vilikuwa vinawasaidia wote ww na wenzio leo wenzio wanapata shida coz nyie mlihamishia kwenu..zile chache mlizoziacha bado zipo..sasa now ukitaka diagram sio bure tena maana hata za mwanzo hazikuja bure..

0717228064 hahahahaha copro mwandambo..
 
Hahahahahahaahahha babu Joh hamna yaniii sio hvyo mzee baba
 
Ngoja niingie huko kaka unipe material fundi Wang hahahahahahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja niingie huko kaka unipe material fundi Wang hahahahahahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
njooo aisee nyumbani kumenoga sana kunazidi kkuwakwa moto sana ..1j
 
Safi.

Mi nilishafeli gari yangu imekufa engine, kwa mujibu wa wataalamu wanasema imeua gasket seal, piston ring na pengin cylinder head...

Engine ni 2NZ ist, inatulia baada ya muda inatoa moshi mweupe mwiiiiingi saaana. Hapa nimeshauriwa kutafuta pesa kununua mswaki mpya tu.

Shida yangu ni!

Je kwa kipindi hiki cha kusubiria nipate pesa ya kununua engine/mswaki mwingine, je naweza kuendelea kuitumia hii gari bila kuongeza tatizo lolote??

Nifanye nini ili kuzuia huu moshi kutoka, napata shida saana barabarani napigiwa kelele, sometime watu wanakimbia wanadhan gari inataka kuwaka moto tafran yaaani.

Tunazuia vipi huu moshi na gari naitaka saana kuitumia hiii
 
Wanakuja
 

Wataalamu wanakuja, ila kama unajipanga kununua engine, tumia tuu, ikifa imekufa.

Nb: Sikujua kama Toyota zina shida. (Nadharia kwa European cars)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…