Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina vyumba vingapi??Hiyo sio chumba na sebure
Kwani shida yako ni nini ndugu?Kwa nini utumie pesa ndefu kujenga chumba na sebule? Yaani hata upendezeshe vipi haikuongezei heshima mtaani. Chumba na sebule tumia ramani ya kawaida ya mstatiri. Tena ikibidi laza bati tu.
Hauko serias, mwenzio anaulizia chumba na sebule we unaleta mahekaluMkuu naweza kukuchorea kulingana na mahitaji yako, kama uko interested njoo pm, waweza angalia sample hapa
View attachment 1916557
View attachment 1916558
View attachment 1916559
View attachment 1916560
View attachment 1916561
View attachment 1916562
View attachment 1916563
View attachment 1916564
View attachment 1916565
View attachment 1916566
View attachment 1916567
View attachment 1916568
View attachment 1916569
Hauko serias,mwenzio anaulizia chumba na sebule we unaleta mahekalu
Mkuu kiweke pande zote nikuchoree ramani yake buree utalipia karatasi TU mkuuNilikuwa nahitaji kama hiyo niliyoshare hapo,, mkuu tunabana matumizi pesa hakuna mjini.. au kama unaweza kunichorea sample raman kama niloshare hapo, iwe na vyumba 3(1master) store jiko na dinning.... kama hiyo hapo ....... afu unambie unaweza kunichorea kwa bei ganiView attachment 1916574
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mimi sina shida na matakwa yake. Lakini kutokana na uzoefu wangu kwenye mambo ya ujenzi, watu wengi huamua kujenga nyumba ndogo kutokana na hofu ya gharama. Mwisho wa siku unakuta gharama anayoitumia kujenga chumba na sebule, inakaribiana kabisa na gharama ya kujenga vyumba viwili na sebule. Zaidi sana akijipa muda akajenga taratibu anapata vyumba vitatu na sebule, ambayo ni standard kwa familia nyingi za kawaida.Kwani shida yako ni nini ndugu?
Yeye anataka haka kajumba, alafu wewe unataka kumlazimisha alaze bati na hayo mamstatiri yako; Ebo!
Binadamu hamna dogo.
Unakaaje na mavi ndani ?Kina choo ndani kweli hcho au choo mpk ufunge safar
kweli mkuu, ushauri ni zaidi ya pesa,,,woga unaleta madhara kwa mambo mengiMimi sina shida na matakwa yake. Lakini kutokana na uzoefu wangu kwenye mambo ya ujenzi, watu wengi huamua kujenga nyumba ndogo kutokana na hofu ya gharama. Mwisho wa siku unakuta gharama anayoitumia kujenga chumba na sebule, inakaribiana kabisa na gharama ya kujenga vyumba viwili na sebule. Zaidi sana akijipa muda akajenga taratibu anapata vyumba vitatu na sebule, ambayo ni standard kwa familia nyingi za kawaida.
Wewe mwenyewe umekaita "Kajumba". Hili ndo litageuka jina la nyumba yake, na pia jina lake, la watoto wake hadi la mifugo yake. Nyumba itageuka kero.
Binafsi mara nyingi huwa nawauliza wateja wangu, katika kipindi cha miaka mitano ijayo unataka nyumba yako iweje? Kama kunatofauti kubwa kati ya nyumba anayoitaka miaka mitano ijayo na hiyo anayopendekeza kujenga, hapo ndo nitamushauri namna ya kuanza ili afikie lengo ndani ya huo muda. Kama hakuna tofauti ya nyumba ya sasa na ile aitakayo, namwambia twende kazi.
Endelea kutafuta pesaUnakaaje na mavi ndani ?
Hii ulio-share haiwezi kuwa na facility zote hizo ulizotaja labda kama unahitaji muundo kama huo ila eneo la nyumba liongezeke.Nilikuwa nahitaji kama hiyo niliyoshare hapo,, mkuu tunabana matumizi pesa hakuna mjini.. au kama unaweza kunichorea sample raman kama niloshare hapo, iwe na vyumba 3(1master) store jiko na dinning.... kama hiyo hapo ....... afu unambie unaweza kunichorea kwa bei ganiView attachment 1916574
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mnajua kuchora ramani/kushauri/nk lakini hivi ni kwanini mkiulizwa bei na mtu/mteja huwa hamuwezi kujibu Openly mnaishia kutoa namba za Simu mtafutwe?!Mkuu naweza kukuchorea kulingana na mahitaji yako, kama uko interested njoo pm, waweza angalia sample hapa
View attachment 1916557
View attachment 1916558
View attachment 1916559
View attachment 1916560
View attachment 1916561
View attachment 1916562
View attachment 1916563
View attachment 1916564
View attachment 1916565
View attachment 1916566
View attachment 1916567
View attachment 1916568
View attachment 1916569