Alipie Tangazo TUUmeanza lini hii biashara?
Kumbe wewe Ni mfupi?
Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya .
Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri.
Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu.
Good night
Tupo...šššš Sawa watu wa mbeya jamani mpooooo
š¤£š¤£š¤£š¤£Ukorofi utaacha lini?
[emoji1787][emoji1787]uchokoz muhimu
Ha ha ha ...Siku hizi unanitesa
Basi utakuwa kadada katundukatunduš„°Kiasi eh myn
Karibu nimeshalipia MDOPE HOTEL OR ROYAL TUGUMBE
Nasikitika kuchelewa kuona huu uzi .Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya .
Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri.
Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu.
Good night
HalafuKaribu nimeshalipia MDOPE HOTEL OR ROYAL TUGUMBE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho MDA kama huu uko mbeya[emoji2]View attachment 2518841