Nahitaji mwenyeji mbeya wakunipokea

Nahitaji mwenyeji mbeya wakunipokea

Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya .
Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri.
Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu.
Good night
Unakusudia kuja lini?
Kwa siku moja tu; kwa kadiri ulivyo mji huu/jiji hili naani utaongeza siku.
 
Kesho MDA kama huu uko mbeya[emoji2]
JamiiForums1130374452.jpg
 
Back
Top Bottom