Nahitaji mwenza - mume

Nahitaji mwenza - mume

Nancy M

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
45
Reaction score
9
Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
watoto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na anayejishughulisha au mwajiriwa awe dini yoyote umri 36-45,
nimeajiriwa serikalini,
 
Mmh!!umetoa umri ila nikama nasikiaga kuwa mapenzi hayana umri vile!maana wengine huji2ngua kikubwa kwake nikupenda2 mengineyo baadae.
 
kwani baba watoto wako nini kimemsibu, samahani kama swali litasababisha bad memories.
 
Watoto watakua wangu au bado utakua unawasiliana na mzazi mwenzako? kidogo huwa linachoma ilo, bt ur a gud woman kwa kusema ukweli.
 
wataendelea kuwa wa baba yao ingawa hana mawasiliano nao

Watoto watakua wangu au bado
utakua unawasiliana na mzazi mwenzako? kidogo huwa linachoma ilo, bt ur
a gud woman kwa kusema ukweli.
 
wataendelea kuwa wa baba yao ingawa hana mawasiliano nao
lililo jema ni kutengeneza utaratibu wa kuhusu hao watoto coz binadamu hususani sie wanaume huwa tuna wivu na shida ipo huyo baba yao atakakapo kuja kuwajulia hali akikuta mtoto umependeza atataka mkumbushie sa ndio shida hiyo.
 
Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
watoto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na anayejishughulisha au mwajiriwa awe dini yoyote umri 36-45,
nimeajiriwa serikalini,
Take care of your children my dear achana na wanaume utakuja pata ukimwi ufe watoto wako wapate shida.watoto wa tatu hujachoka mchochomeo tu .Hapa nikiachika au nikiacha na mume wangu that's it .Nitalea wanangu na kujiburudisha binafsi .Life is to complicated to bring a stranger in your childrens life .Some are child abuser,controlling,.
 
utaratibu kama upi kwa mfano

lililo jema ni kutengeneza
utaratibu wa kuhusu hao watoto coz binadamu hususani sie wanaume huwa
tuna wivu na shida ipo huyo baba yao atakakapo kuja kuwajulia hali
akikuta mtoto umependeza atataka mkumbushie sa ndio shida hiyo.
 
Asante kwa ushauri

Take care of your children
my dear achana na wanaume utakuja pata ukimwi ufe watoto wako wapate
shida.watoto wa tatu hujachoka mchochomeo tu .Hapa nikiachika au
nikiacha na mume wangu that's it .Nitalea wanangu na kujiburudisha
binafsi .Life is to complicated to bring a stranger in your childrens
life .Some are child abuser,controlling,.
 
Mme anapatikana kwa Yesu ebu piga goti umwombe yeye aatakupa mme bora nikutakie uvumilivu mwema maana Mungu hachelewi wala hawai ubarikiwe
 
Take care of your children my dear achana na wanaume utakuja pata ukimwi ufe watoto wako wapate shida.watoto wa tatu hujachoka mchochomeo tu .Hapa nikiachika au nikiacha na mume wangu that's it .Nitalea wanangu na kujiburudisha binafsi .Life is to complicated to bring a stranger in your childrens life .Some are child abuser,controlling,.

But ukiwa na mme heshima kibongobongo labda uwe umefiwa ila kama hujafiwa mwanamke singo ni umalaya, harusin na na vp mitoko? na hata watu wa dawasco huna la kuwaambia mr akirudi nitamwambia, aah wanaume juuu my sista.
 
Sio kweli kwamba ukiachika unaweza kujiburudisha peke yako nani kasema? (wewe) kheri yake aliye jitoa nakutaka mwenza kuliko ajirushae kama tiyara.
 
mie mnaokuja jf kutafuta wachumba mna moyo....

mie humu sidhani kama nitamchukulia mtu siriazi kuanza naye mahusiano.....:yo::A S 39:
 
Back
Top Bottom