Nahitaji mwenza - mume

Nahitaji mwenza - mume

utaratibu kama upi kwa mfano
Moja kumpata mtu wa makamo yangu na kuwa asili watoto na pia kutengeza mkataba na kisheria na yule bwana, coz watoto hao hawapaswi kuona tofauti kwa baba mpya atakaekuja, lakini hawapaswi kumuita bamdogo wala anko, hiyo haitaleta heshima mtaani, ili huyo mume mpya awajibike kwao haitakiwi kabisa mkono wa huyo baba halisi, au kama vp ni heri watoto kuwapeleka kwa mama yako kama yupo. hii itasidia mahusiano yako yadumu, ukiolewa na mtu mwema huwez pata ukimwi ila kibinadamu ukiwa bado singo ndio utakuwa ktk hatari ya kuambukizwa, kwan hata muathirika anaweza akakurubuni kwa ajili ya hamu za kimwili ukajikuta umempa.
 
mimi nina watoto kumi, nina umri wa miaka 78, nimetokea kukupenda sana, ni pm tuoane, hesabu mume umepata, hakuna nafasi nyingine zaidi ya hii
 
mie mnaokuja jf kutafuta wachumba mna moyo....

mie humu sidhani kama nitamchukulia mtu siriazi kuanza naye mahusiano.....:yo::A S 39:

umetendwa nini? Wenzako last yia tumechanga harusi mbili na moja mwaka huu imeshajibu kwa baby boy, kwaiyo usibeze sana kuna watu wamebahatika humu jukwaani, sema baadhi ya watu wana masikhala sana hapa.
 
Yah, ni kweli, kama mtu kaamua kuja huku ujue ana moyo kwelikweli. people differ

mie mnaokuja jf kutafuta wachumba mna moyo....

mie humu sidhani kama nitamchukulia mtu siriazi kuanza naye mahusiano.....:yo::A S 39:
 
umetendwa nini? Wenzako last yia tumechanga harusi mbili na moja mwaka huu imeshajibu kwa baby boy, kwaiyo usibeze sana kuna watu wamebahatika humu jukwaani, sema baadhi ya watu wana masikhala sana hapa.


ingia love conect,uone ni wangapi wanatafuta wenza,halafu ni wangapi wamepata kwa mujibu wako utaelewa humu ni kubahatisha tu lol:rockon:
 
Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
watoto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na anayejishughulisha au mwajiriwa awe dini yoyote umri 36-45,
nimeajiriwa serikalini,
Ninakutamani, tatizo umri.
 
Noted, asante

lililo jema ni kutengeneza
utaratibu wa kuhusu hao watoto coz binadamu hususani sie wanaume huwa
tuna wivu na shida ipo huyo baba yao atakakapo kuja kuwajulia hali
akikuta mtoto umependeza atataka mkumbushie sa ndio shida hiyo.
 
Nakubaliana na wewe, watu mkiridhiana hakuna mtakachoshindwa kupanga kuhusu maisha yenu

Moja kumpata mtu wa makamo
yangu na kuwa asili watoto na pia kutengeza mkataba na kisheria na yule
bwana, coz watoto hao hawapaswi kuona tofauti kwa baba mpya atakaekuja,
lakini hawapaswi kumuita bamdogo wala anko, hiyo haitaleta heshima
mtaani, ili huyo mume mpya awajibike kwao haitakiwi kabisa mkono wa huyo
baba halisi, au kama vp ni heri watoto kuwapeleka kwa mama yako kama
yupo. hii itasidia mahusiano yako yadumu, ukiolewa na mtu mwema huwez
pata ukimwi ila kibinadamu ukiwa bado singo ndio utakuwa ktk hatari ya
kuambukizwa, kwan hata muathirika anaweza akakurubuni kwa ajili ya hamu
za kimwili ukajikuta umempa.
 
Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
watoto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na anayejishughulisha au mwajiriwa awe dini yoyote umri 36-45,
nimeajiriwa serikalini,

30, do I stand a chance?
 
Take care of your children my dear achana na wanaume utakuja pata ukimwi ufe watoto wako wapate shida.watoto wa tatu hujachoka mchochomeo tu .Hapa nikiachika au nikiacha na mume wangu that's it .Nitalea wanangu na kujiburudisha binafsi .Life is to complicated to bring a stranger in your childrens life .Some are child abuser,controlling,.

Ni kweli kabisa aleee watoto wake lakini mwili nao una mahitaji yake.

Ushauri wangu kama ameajiriwa serikalini kwa sababu bado ni binadamu atafute mpenzi wake lakini asiwe mume ambaye atakuwa anakutana naye mbali kabisa na nyumbani kwa ajili ya ubinadamu huo na mwisho wa siku siku zinasonga.

Waaume wa siku hizi hatuaminiki sana hasa kwa jinsi ulivyojieleza wataishia kukuchezea tu, sasa na bora ukaguta mawazo ya kuolewa ili kila mtu asikupate kwa kigezo cha kukuoa.
 
miaka mingapi

Dada yangu you have to be serious na watu wanaokutamani tu, kuwa makini sana vinginevyo utajikuta unaangukia sehemu ambayo hujaitarajia kabisa kutokana na tamaa za watu humu kutaka kugegeda tu.
 
Dada yangu you have to be serious na watu wanaokutamani tu, kuwa makini sana vinginevyo utajikuta unaangukia sehemu ambayo hujaitarajia kabisa kutokana na tamaa za watu humu kutaka kugegeda tu.
Mkuu sio vizuri kuniharibia, kupenda ni lazima kuanzie na kutamani kwanza, baadae mkishazoeana ndio mnapendana. kwa sifa alizoeleza nimemtamani sana huyu mdada.
 
Umekuwa muwazi sana utabarikiwa na utapata mume muwazi pia
 
lililo jema ni kutengeneza utaratibu wa kuhusu hao watoto coz binadamu hususani sie wanaume huwa tuna wivu na shida ipo huyo baba yao atakakapo kuja kuwajulia hali akikuta mtoto umependeza atataka mkumbushie sa ndio shida hiyo.
Sasa kaka unaogopa kukumbushia?
Maana hata wasipokumbushia now, tayari jamaa anaijua nanii ya mdada in-out, so hata ukizuia haitasaidia.
Cha msingi kama mkumbushiaji ni huyohuyo zilipendwa wake hakuna problem.
 
Back
Top Bottom