Nimewahi kuwa na ndoa mbili kila moja kwa wakati wake, ambazo hazikufanikiwa tukaishia kuachana na hao kina mama.
Kwa kweli nashuhudia skupata wasaidizi ila nilipata warembo tu wasio na utu, I was discouraged.
Nahitaji kufanya aina ya maisha yatayofanya heshima yangu iimarike, kukua na kudhihirika katika jamii kwa kuwa nitaanzisha harakati za kuinua hali za maisha ya jamii inayonizunguka.
Nahitaji Mke atakayeweza kuwa msaidizi wangu wa kweli. Atakayefanya tafsiri ya utu niidhihirushe ndani yake. Tusaidiane kuacha alama ya utu katika maisha yetu mimi na yeye.
*Nitamhakikishia usalama wa maisha yake kiuchumi maana watu hatudumu hapa duniani.
*Nitampenda kwa moyo wangu wote lkn asibweteteke km walivyofanya waliotangulia.
-Awe na elimu kuanzia f4
(nazingatia tamko la naibu waziri)
-Km amezaa watoto wasiwe wa kiume(hawa wana wivu mkali kwa mama zao km vile wao ndo waume mbadala)
-Awe mwelewa na aniamini na kunisupport na mnyenyekevu km Kairuki kwa Magufuli (not kidding..)
-Awe mkristo
-Ntafarijika zaidi akiwa mrembo
au wa wastani.
-Awe na uwezo wa kuzaa angalu watoto wawili wakutuunganisha.
MIMI:-
Elimu yangu f4.
Mtumishi wa serikali
Miaka 43