Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupusio mzee ,bora uolewe na mtu wa miaka 60 kuliko 40s.kwanza wana nguvu ,ni jeuri,wanajua kila kitu,sio responsible japo sio wote ila wengi wao.ukiona mwanaume yupo 40 single jua ni mchoyo balaa.ni mbinafsi na huwezi mbadilisha kila kitu maishani ni kuhusu yeye tu
AsanteMungu akupe hutajio LA moyo wako
Nimewahi kuwa na ndoa mbili kila moja kwa wakati wake, ambazo hazikufanikiwa tukaishia kuachana na hao kina mama.
Kwa kweli nashuhudia skupata wasaidizi ila nilipata warembo tu wasio na utu, I was discouraged.
Nahitaji kufanya aina ya maisha yatayofanya heshima yangu iimarike, kukua na kudhihirika katika jamii kwa kuwa nitaanzisha harakati za kuinua hali za maisha ya jamii inayonizunguka.
Nahitaji Mke atakayeweza kuwa msaidizi wangu wa kweli. Atakayefanya tafsiri ya utu niidhihirushe ndani yake. Tusaidiane kuacha alama ya utu katika maisha yetu mimi na yeye.
*Nitamhakikishia usalama wa maisha yake kiuchumi maana watu hatudumu hapa duniani.
*Nitampenda kwa moyo wangu wote lkn asibweteteke km walivyofanya waliotangulia.
-Awe na elimu kuanzia f4
(nazingatia tamko la naibu waziri)
-Km amezaa watoto wasiwe wa kiume(hawa wana wivu mkali kwa mama zao km vile wao ndo waume mbadala)
-Awe mwelewa na aniamini na kunisupport na mnyenyekevu km Kairuki kwa Magufuli (not kidding..)
-Awe mkristo
-Ntafarijika zaidi akiwa mrembo
au wa wastani.
-Awe na uwezo wa kuzaa angalu watoto wawili wakutuunganisha.
MIMI:-
Elimu yangu f4.
Mtumishi wa serikali
Miaka 43
My kaka hapa nawaza nijitose au la!! Maana ndoa mbili zote chali duuh!! Huu msala au bahati[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]Eeh hivi 43 ni mzee kumbe?!! basi mie nishakuwa muhenga wa wahenga
Ukweli mtupu sio 40 tu, ungeshuka chini kidogo pia ndio wale wale.sio mzee ,bora uolewe na mtu wa miaka 60 kuliko 40s.kwanza wana nguvu ,ni jeuri,wanajua kila kitu,sio responsible japo sio wote ila wengi wao.ukiona mwanaume yupo 40 single jua ni mchoyo balaa.ni mbinafsi na huwezi mbadilisha kila kitu maishani ni kuhusu yeye tu
Who knows! wa 3 pia will be the same!!mtu kaoa mara mbili mkuu kuna style kabakisha kwel;i?
Miaka 43 mbona kijana kabisa. At that age Mimi machine yangu ilikua inazunguka kwa average speed ya 4 RPN (4 Revolutions Per Night). So Miss Natafuta usipoteze bahati yako.zali la mentali hili.upo wapi mkuu japo upo used mbaya
Yepi tens hayo, njoo na mfano!Ila nyie wanaume wenye miaka 40 kuendelea hapa kati mna matatizo eti
[emoji23]Yepi tens hayo, njoo na mfano!
Kama avatar yako ndio mwenyewe halisi.. unafaa kulumagia.Nitafute mm
Ndo hivyo makaveli mm ni ndo mwenyewe mwambie awe serious tuKama avatar yako ndio mwenyewe halisi.. unafaa kulumagia.
Mkuu chukua chombo hiki ukamalizie ngwe ya mwisho.
Nina imani mpaka sasa atakuwa ameshakufikia kama yuko serious .Ndo hivyo makaveli mm ni ndo mwenyewe mwambie awe serious tu