Nahitaji mwenza wa kike kumalizia maisha yangu yaliyobaki katika mapenzi

Kweli tupu
 


Mmmmh! Pole!
 
Eeh hivi 43 ni mzee kumbe?!! basi mie nishakuwa muhenga wa wahenga
My kaka hapa nawaza nijitose au la!! Maana ndoa mbili zote chali duuh!! Huu msala au bahati[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]
 
Ukweli mtupu sio 40 tu, ungeshuka chini kidogo pia ndio wale wale.
 
Makaveli huwa situmii feki mm,ni original kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…