Nahitaji mwenza wa maisha

Nahitaji mwenza wa maisha

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Kama title ilivyo
Sifa binafsi (mimi)
Umri-31
Dini-mkristo (Anglican)
Elimu-chuo
Taaluma-maabara
Kazi-Afya
Rangi-mweusi
Urefu-wastani

Mwanamke awe
Umri-kuanzia 20
Dini-yoyote
Elimu-kuanzia kidato cha 4
Kazi-yoyote au hata jobless ila awe na fani au idea ya biashara
Rangi-yoyote(asijichubue)
Urefu-wastani
Location-popote
Awe tayari kupima HIV tutapima na kupokea majibu pamoja

Kwa aliye serious aje PM
 
Back
Top Bottom