Appollo 11
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 245
- 648
Ndugu wanajamvi, Wasalam.
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, Mimi ni Kijana wa kiume, Nahitaji Mwenza ambae Mungu akijalia aje kua mke wangu
Vigezo
1. Umri miaka 18 mpaka 28
2. Elimu Kuanzia kidato cha nne
3. Mengine tutaulizana PM
TANBIHI: Awe mdada Alokomaa kifikra na mwenye dhati ya Maisha.
Aliye Tayar aje PM
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app