Nahitaji Mwenza

Nahitaji Mwenza

class one

New Member
Joined
Nov 19, 2020
Posts
2
Reaction score
7
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.

Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo

Awe tayari kujenga mahusiano.

Awe na umri kuanzia 34-44

Awe muwazi na mkweli.

Awe na shughuli ya kumpatia kipato halali.

Awe na utayari wa kucheki afya zetu ikiwa tutakubaliana.

Ikiwa utapendezwa,basi karibu PM.

Ahsante!
 
Kila la kheri dada.
 
Kila jambo kwa wakati wake, ni matumaini yangu kuwa utapata anayekufaa.
 
Bandiko zuri kweli ila ujuweka wazi mambo mengi
1.mtoto Ana umri gani
2.unaishi wapi.
3.unajishugulisha na Nini.
 
After 3days za ndoa unasikia baba fulani anataka kuongea na mwanae, wakati huo ni usiku wa manane.

Au ukienda pm unaambiwa "no sex bila ndoa."
 
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.

Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo

Awe tayari kujenga mahusiano.

Awe na umri kuanzia 34-44

Awe muwazi na mkweli.

Awe na shughuli ya kumpatia kipato halali.

Awe na utayari wa kucheki afya zetu ikiwa tutakubaliana.

Ikiwa utapendezwa,basi karibu PM.

Ahsante!

nicheki bhn 0625801648 hizo sifa ninazo
 
Back
Top Bottom