Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.
Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo
Awe tayari kujenga mahusiano.
Awe na umri kuanzia 34-44
Awe muwazi na mkweli.
Awe na shughuli ya kumpatia kipato halali.
Awe na utayari wa kucheki afya zetu ikiwa tutakubaliana.
Ikiwa utapendezwa,basi karibu PM.
Ahsante!