Mimi ni mkristo ,ninahitaji mkristo pia.Wanakuja, dini yeyote tu!?
Kila la kheri dada.Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.
Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo
Awe tayari kujenga mahusiano.
Awe na umri kuanzia 34-44
Awe muwazi na mkweli.
Awe na shughuli ya kumpatia kipato halali.
Awe na utayari wa kucheki afya zetu ikiwa tutakubaliana.
Ikiwa utapendezwa,basi karibu PM.
Ahsante!

Kwanini , mpaka uone kaburi ,, chief ??😂Mimi nina sifa zote ila lazima nione kaburi la mzazi mwenzio ndo tuoane!
we mzee wa kupendwa upo hapa! unataka kumchezea dada wa wAtuMimi nina sifa zote ila lazima nione kaburi la mzazi mwenzio ndo tuoane!
Ohoooo hujajua kumbe kushapa vipolo nako kupo!K
Kwanini , mpaka uone kaburi ,, chief ??[emoji23]
Sina nia hiyo labda anipende mwenyewe !we mzee wa kupendwa upo hapa! unataka kumchezea dada wa wAtu
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.