Nahitaji mwenzi wa maisha

Baada ya mtoa mada kuwaringia good men waliomtongoza in her 20's na kuchezea mishedede ya kila namna from handsome guys kina chads & Tyrone, sahivi anatafuta mwanaume boya wa kula naye uzee, sababu anaona umri unaenda na uzuri wake unapungua, hivyo anatafuta stara ya ndoa na mwanaume wa kumchuna hela Shadeeya To yeye
 
Wenye kiu, na Kumjua Mungu? Wanaume tunamjua Mungu na Shetani! labda niwaeleze kweli, usije ata siku Moja ukajidanganya kwamba unaweza mpata mwanaume mwenye Single Options ktk Maisha, ili aje kuwa Mbuzi yako kwa kisingizio cha Imani. wanaume Mungu tunajua na Ibilisi tunamjua ni suala la muda tu ku shift gia angani, yaan ukiwa mtu wa Mungu mtaishi hivyo na mwanaume ila kama kuna pepo ndani yako usitegemee utapata malaika wa kiume aje kukuvusha..

Utapewa unachostahili. hasa msimu huu wa Sikukuu.

winda hali ukitambua nawe unawindwa. hii ni kwa wote mnaobet kwenye suala la Upendo na Mungu mtandaoni.
 
Kila la kheri,Mungu akujalie hitaji lako.
 
Mambo happy....aise nimependa jinsi unavyotambuankuwa mwanaume ni kichwa cha familia.
Kweli wee unashawishi ata kidume atake kukuwowa. Njoo pm tuyajenge mrembo
 
Hebu muache binti wa watu. 🤣

Sababu hata thate bado hajafika ana uzee gani sasa.
 
Tatizo tukija PM mnakuja kutunanga hapa.. hampo serious ... mnacheza na hisia zetu 🙂🙂
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…