Nahitaji mwenzi wa maisha

Nahitaji mwenzi wa maisha

Baada ya mtoa mada kuwaringia good men waliomtongoza in her 20's na kuchezea mishedede ya kila namna from handsome guys kina chads & Tyrone, sahivi anatafuta mwanaume boya wa kula naye uzee, sababu anaona umri unaenda na uzuri wake unapungua, hivyo anatafuta stara ya ndoa na mwanaume wa kumchuna hela Shadeeya To yeye
 
Wenye kiu, na Kumjua Mungu? Wanaume tunamjua Mungu na Shetani! labda niwaeleze kweli, usije ata siku Moja ukajidanganya kwamba unaweza mpata mwanaume mwenye Single Options ktk Maisha, ili aje kuwa Mbuzi yako kwa kisingizio cha Imani. wanaume Mungu tunajua na Ibilisi tunamjua ni suala la muda tu ku shift gia angani, yaan ukiwa mtu wa Mungu mtaishi hivyo na mwanaume ila kama kuna pepo ndani yako usitegemee utapata malaika wa kiume aje kukuvusha..

Utapewa unachostahili. hasa msimu huu wa Sikukuu.

winda hali ukitambua nawe unawindwa. hii ni kwa wote mnaobet kwenye suala la Upendo na Mungu mtandaoni.
 
Kila la kheri,Mungu akujalie hitaji lako.
 
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar.

2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT.

3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia.

4. Napenda kufurahi, kujifunza mambo mbalimbali in all aspects of life kutoka kwa watu wenye positive mind na kufanya maendeleo.

❤️Ninaamini kuwa nitampata Mume mwema tu, mkweli, mwenyeupendo na Upeo angavu.

❤️Mwenye kumjua na kuwa na kiu ya kujifunza kumhusu Mungu ili akapate kuwa Kichwa bora cha familia.

❤️Mwenye kijitegemea kiuchumi na kujisimamia yeye mwenyewe kimawazo na kifikra.
Mambo happy....aise nimependa jinsi unavyotambuankuwa mwanaume ni kichwa cha familia.
Kweli wee unashawishi ata kidume atake kukuwowa. Njoo pm tuyajenge mrembo
 
Baada ya mtoa mada kuwaringia good men waliomtongoza in her 20's na kuchezea mishedede ya kila namna from handsome guys kina chads & Tyrone, sahivi anatafuta mwanaume boya wa kula naye uzee, sababu anaona umri unaenda na uzuri wake unapungua, hivyo anatafuta stara ya ndoa na mwanaume wa kumchuna hela Shadeeya To yeye
Hebu muache binti wa watu. 🤣

Sababu hata thate bado hajafika ana uzee gani sasa.
 
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar.

2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT.

3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia.

4. Napenda kufurahi, kujifunza mambo mbalimbali in all aspects of life kutoka kwa watu wenye positive mind na kufanya maendeleo.

❤️Ninaamini kuwa nitampata Mume mwema tu, mkweli, mwenyeupendo na Upeo angavu.

❤️Mwenye kumjua na kuwa na kiu ya kujifunza kumhusu Mungu ili akapate kuwa Kichwa bora cha familia.

❤️Mwenye kijitegemea kiuchumi na kujisimamia yeye mwenyewe kimawazo na kifikra.
Tatizo tukija PM mnakuja kutunanga hapa.. hampo serious ... mnacheza na hisia zetu 🙂🙂
 
Back
Top Bottom