Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
Kaka ukiwa unatafuta mwanamke wa kuoa kwa style hii ya jamvini humu utakuja kujiopolea jini bureeee.
Kua muangalifu. Itakula kwako.
We unadhani mpenzi anatafutwa kama nyanya sokoni?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums