Nahitaji mwenzi wa maisha!!!

Nahitaji mwenzi wa maisha!!!

Man Ngosha

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
219
Reaction score
69
Habari wana Jf,
Mi ni kijana wa kiume miaka 27,mkiristu,mrefu,naishi Dodoma!Nahitaji msichana ambaye atakuwa mpenz wangu wa moyo na baadae tutaishi wote na kujenga familia yenye furaha na amani.Umri wake uwe miaka 20 -23,mkiristu, mrefu wastani,asiwe mnene sana wala mwembamba sana,awe na degree/degree au anatarajia kugraduate!Itafaa zaidi akiwa Dodoma pia.
Aliye serious na mahusiano aniPM
 
mi nina degree,rangi yangu maji ya kunde!!
 
Kaka ukiwa unatafuta mwanamke wa kuoa kwa style hii ya jamvini humu utakuja kujiopolea jini bureeee.
Kua muangalifu. Itakula kwako.
We unadhani mpenzi anatafutwa kama nyanya sokoni?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona wamtisha mwenzio
 
Back
Top Bottom