Nahitaji nafasi ya uogozi!

Nahitaji nafasi ya uogozi!

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
514
Reaction score
83
Wadau habari zenu.

Mimi ni kijana wa Kitanzania, nimesoma na nimefanya kazi kwa muda mrefu sasa. Ila nahitaji na mimi walau nipate kanafasi niweze kuonesha uwezo wangu. Niko vzuri siyo mchezo. Ila mheshimiwa atanionaje?
 
Uongozi kitu gani sasa? Body ya thread haijajitosheleza.
 
Msomi unaandika hivi? Huo uongozi utauweza?
 
Back
Top Bottom