Nahitaji Namba ya Vanessa Mdee

Nahitaji Namba ya Vanessa Mdee

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Naombeni mwenye namba za huyu mdada Vanessa Mdee anisaidie, nampenda sana hadi nahisi ku dead, hivi kwanza ameolewa???
 
She's so skinny....aaah!


Vanessa-Mdee-with-BHitz.jpg
 
watu tunatofautiana jamani, mimi huyu walaa!
 
watu tunatofautiana jamani, mimi huyu walaa!

hahahaha asante kwa kunichangamsha mchana, nakumbuka kuna rafiki yangu alitaka kuoa, mwanamke anayetaka kuolewa ana miaka 29 ila wedding dress size 10 ni kubwa kwake, hahaha ilisumbua sana yaani vanessa mdee ni mnene kwa huyo dada, ili bidi gauni inunuliwe ikabanwe sana na kifuani hana kitu kabisaaa ndiyo ndugu mmoja wa mwanaume akasema mmh mimi huyu binti hata ningepewa bure nisingemchukua
 
Naombeni mwenye namba za huyu mdada vanessa mdee anisaidie, nampenda sana hadi nahisi ku dead, hivi kwanza ameolewa???

Hapa jikon rafiki?? Si upost celeb forum ungesaidiwa kwa haraka. Au mm ndo nimeangalia vibaya???
 
Back
Top Bottom