God bell
JF-Expert Member
- May 13, 2011
- 590
- 210
Wapendwa kama mada inavyojieleza hapo juu, nimeamua kuvunja ukimya na kutaka kuingia katika maisha ya ndoa. Mimi ni mwanaume, dini mkirsto. Nina umri wa miaka 31. Mrefu wa wastani, maji ya kunde. Elimu- diploma in teaching. Nina kazi. Mchumba: awe mkirsto mcha Mungu, elimu kidato cha nne na kuendelea, sichagui rangi wala kabila, awe anajieshimu. Niko serious. Karibu. MAJIBU YAPITIE KWA KU PM TU.