Nahitaji Ndoa.

Nahitaji Ndoa.

God bell

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Posts
590
Reaction score
210
Wapendwa kama mada inavyojieleza hapo juu, nimeamua kuvunja ukimya na kutaka kuingia katika maisha ya ndoa. Mimi ni mwanaume, dini mkirsto. Nina umri wa miaka 31. Mrefu wa wastani, maji ya kunde. Elimu- diploma in teaching. Nina kazi. Mchumba: awe mkirsto mcha Mungu, elimu kidato cha nne na kuendelea, sichagui rangi wala kabila, awe anajieshimu. Niko serious. Karibu. MAJIBU YAPITIE KWA KU PM TU.
 
good luck,i hope utapata,ukifampata humu,usikose kutujulisha
 
kila la heri mkuu,ila umewanyima uhuru wasio member km watakua interested na ww!
 
Jamani? Mbona mi kigezo ni upole tu....lol

Hahahah. . .
Kwahiyo akiwa mlevi poa?
Asipokua mwaminifu poa?
Akiwa mwizi/jambazi poa?
Asipojua kubembeleza/omba samahani poa?
Akiwa mvivu poa?
Akiwa mwongo poa?
Asipokuheshimu poa?

Haya bana dearest. . . ngoja nikanunue daftari jipya niongeze vyangu.
 
Hahahah. . .
Kwahiyo akiwa mlevi poa?
Asipokua mwaminifu poa?
Akiwa mwizi/jambazi poa?
Asipojua kubembeleza/omba samahani poa?
Akiwa mvivu poa?
Akiwa mwongo poa?
Asipokuheshimu poa?

Haya bana dearest. . . ngoja nikanunue daftari jipya niongeze vyangu.

Dearest, kwa tafsiri yangu ya upole, hawezi kuwa na hizo sifa hapo juu,pengine aweza pungukiwa kidogo tu,kwa kiasi ambacho naweza kumudu kuishi nae..!!
 
are u a teacher! Nimefurahi kukuona hapa mkuu.kumbe walimu tupo wengi humu!

Mungu akitimizie hitaji lako.
 
Kwahiyo vigezo vyako ni elimu na dini tu?

Siku zote mtu anaemjua Mungu hata mambo mengine ni rahisi kujirekebisha, elimu nao ni ya muhimu katika maisha.
 
Haya wa dada nafasi ndio hiyo,mbona kaka hujasema unakaa wapi ili mtu ajue akifanya mamuzi asije akajuta kua ohhh hukunambia unakaa wapi,...
 
Back
Top Bottom