mapenzi ni pamoja na care taking!kimsingi amina ana haki ya kupenda tena,ana haki ya kujisikia anapendwa.tatizo ni anayempenda ni shemeji(actually ni mdogo wa aliyekuwa mume wake)nafikiri kuna tofauti hapo!aha bwana eeeeeeenh najiuma uuuuuma! kwani kitu gani?waoane tu!
Ha,ha,ha,ha,haaaa,umenichekesha sana!!
Hii ngumu kumeza. mimi nashauri (1). asirudiane na mumewe hata kama akatoa machozi ya damu. (2). asithubutu kumwonyesha au muktamkia shemeji yake kuwa nampenda kwani kufanya hivyo ataongeza uhasama mkubwa sana kwa familia zao. (3). avute subira atapata mwingine wa kumliwaza ukizingatia kwa sana mume anaye (KAZI).
Kimsingi kama huyo bwana hajatoa talaka bado ni mke wake! uzuri mmoja wa dini ya Kiislam ukishatoa/pata talaka basi anakua huru. Sasa huyu Amina hajapokea talaka, yeye amekimbia nyumbani kwa mumewe japokua mumewe ana makosa makubwa yasiyoweza kusamehewa. Kweli mi nachomshauri huyo Amina adai talaka ili awe huru na huyo kisirani. Yeye aliona mimba imefika miezi 7 hawazi tena kula mzigo kahimia kwa lijimama! Mtu kama huyu hapa kwetu Yemen, ni chakula ya Nguruwe, hafai kuishi na mtu. Huyo shemeji mtu nae anaweza kujiingiza kwenye matatizo kama huyo kisirani atagundua dogo anakula mzigo wake asiyoutunza. Ila kama shemeji analipa, dogo hana budi kuonja kidogo tu, yan SUNA
Yote kwa yote,Amina amonyesha hisia kwa shemeji,lakni hajatuambia shemejiake km ana hisia kwake. Ingekuwa bwana Rajabu hayupo hai ingekuwa swadakta kwa Amina kuendelea na shemeji lakn huyu bwana bado yu hai na bado anapenda kwa vyovyote vile lazima ataleta vurugu.
Sidhani kama Amina anachoita mapenzi ni mapenzi kweli au anajisikia ''kulipa fadhila'' kwa mema yote alotendewa na shemeji. Ni lazima awe mwangalifu juu ya hilo!.
Ila hili jambo ni gumu sana!
sio gumu kihivyo huyo mwanaume hakumpenda mke wake,na si alishampa talaka?ugumu unatoka wapi?huyo dogo kama na ye amempenda huyo dada waacheni!unless hajampenda lakini kama wanapenda na ndoa ilishatengyliwa asha ajibebee tu!
Amina anadai anampenda kabisa shemejie!!
Ajitahd kurudisha hisia zake wawe pamoja u never knw kashajifunz hawez kumtenda tena
Haina haja ya kusambaratisha familia ya watu,akae mbali na shemeji mtu na wala asimuoneshe hisia zozote za kumpenda,kingine atalinda maisha yake naya huyo shemeji mtu kwani yeye ni mke wa mtu halali wa ndoa.