Nahitaji neno la wadada wote wa JF kwenye hili... Hata wanaume semeni pia!

Nahitaji neno la wadada wote wa JF kwenye hili... Hata wanaume semeni pia!

mapenzi ni pamoja na care taking!kimsingi amina ana haki ya kupenda tena,ana haki ya kujisikia anapendwa.tatizo ni anayempenda ni shemeji(actually ni mdogo wa aliyekuwa mume wake)nafikiri kuna tofauti hapo!aha bwana eeeeeeenh najiuma uuuuuma! kwani kitu gani?waoane tu!

Ha,ha,ha,ha,haaaa,umenichekesha sana!!
 
Ha,ha,ha,ha,haaaa,umenichekesha sana!!

aha sasa unafikiri ningesemaje,manake nimejiona kama nataka kufunika kombe mwanaharamu apite vileee,ikabidi tu nijiwahi kushauri MAAMUZI MAGUMU YAFIKIWE MUAFAKA!
 
Hii ngumu kumeza. mimi nashauri (1). asirudiane na mumewe hata kama akatoa machozi ya damu. (2). asithubutu kumwonyesha au muktamkia shemeji yake kuwa nampenda kwani kufanya hivyo ataongeza uhasama mkubwa sana kwa familia zao. (3). avute subira atapata mwingine wa kumliwaza ukizingatia kwa sana mume anaye (KAZI).

Kumbe kazi ni mumeeee!
 
Kimsingi kama huyo bwana hajatoa talaka bado ni mke wake! uzuri mmoja wa dini ya Kiislam ukishatoa/pata talaka basi anakua huru. Sasa huyu Amina hajapokea talaka, yeye amekimbia nyumbani kwa mumewe japokua mumewe ana makosa makubwa yasiyoweza kusamehewa. Kweli mi nachomshauri huyo Amina adai talaka ili awe huru na huyo kisirani. Yeye aliona mimba imefika miezi 7 hawazi tena kula mzigo kahimia kwa lijimama! Mtu kama huyu hapa kwetu Yemen, ni chakula ya Nguruwe, hafai kuishi na mtu. Huyo shemeji mtu nae anaweza kujiingiza kwenye matatizo kama huyo kisirani atagundua dogo anakula mzigo wake asiyoutunza. Ila kama shemeji analipa, dogo hana budi kuonja kidogo tu, yan SUNA

Amina hawezi kutoa talaka mpaka adai?
 
Yote kwa yote,Amina amonyesha hisia kwa shemeji,lakni hajatuambia shemejiake km ana hisia kwake. Ingekuwa bwana Rajabu hayupo hai ingekuwa swadakta kwa Amina kuendelea na shemeji lakn huyu bwana bado yu hai na bado anapenda kwa vyovyote vile lazima ataleta vurugu.
Sidhani kama Amina anachoita mapenzi ni mapenzi kweli au anajisikia ''kulipa fadhila'' kwa mema yote alotendewa na shemeji. Ni lazima awe mwangalifu juu ya hilo!.
 
Namshauri aangalie sheria za dini yake zinasemaje, kama anaweza kuhamisha majeshi na afanye hivyo. Anaekupenda atakujali.

Nimepapenda hapo;Anaekupenda atakujali!
 
aha sasa unafikiri ningesemaje,manake nimejiona kama nataka kufunika kombe mwanaharamu apite vileee,ikabidi tu nijiwahi kushauri MAAMUZI MAGUMU YAFIKIWE MUAFAKA!

Ila hili jambo ni gumu sana!
 
Yote kwa yote,Amina amonyesha hisia kwa shemeji,lakni hajatuambia shemejiake km ana hisia kwake. Ingekuwa bwana Rajabu hayupo hai ingekuwa swadakta kwa Amina kuendelea na shemeji lakn huyu bwana bado yu hai na bado anapenda kwa vyovyote vile lazima ataleta vurugu.
Sidhani kama Amina anachoita mapenzi ni mapenzi kweli au anajisikia ''kulipa fadhila'' kwa mema yote alotendewa na shemeji. Ni lazima awe mwangalifu juu ya hilo!.

Amina anadai anampenda kabisa shemejie!!
 
Ila hili jambo ni gumu sana!

sio gumu kihivyo huyo mwanaume hakumpenda mke wake,na si alishampa talaka?ugumu unatoka wapi?huyo dogo kama na ye amempenda huyo dada waacheni!unless hajampenda lakini kama wanapenda na ndoa ilishatengyliwa asha ajibebee tu!
 
Ni sawa,tatizo linakuja kwenye kukabiliana na changamoto za ndugu na marafiki!!
 
Kwanza nampa pole Amina. Kuepusha shari ktk familia hasirudiane na mumewe kwan kafata pesa pili Amina asitake kulipa fadhira kwa shemej yake kwa kuanzisha mahusiano ya kimapenz. Azid kuvumilia atapata mwngne!
 
Amina anadai anampenda kabisa shemejie!!

Anampenda na wanaweza wakapendana lakn huyu kaka ndio analeta utata. My advise, Amina should look for someone else who is not related to her ex-husband. Mindo u, tokea mwanzo jamaa alishamtuhumu mkewe kwamba anatembea na shemejie. Mwisho wa siku jamaa atatafuta pa kutumia lawama na kuficha aibu ya yale alotenda atasema ''mdogo wake ndo kavunja ndoa yake'' na hapo ndio dhahma litakapoanzia. Pia ajue, sio wale wote unaowa-feel ni lazima wawe wapenzi wako. Yeye keshawapotezea wangapi? Na hyo iwe ivo,atafute the right person with no strings attached to his ex!
 
Ajitahd kurudisha hisia zake wawe pamoja u never knw kashajifunz hawez kumtenda tena

Kama hajajifunza akaja kumtenda tena! Hata shemeji hatamsaidia tena maana watajua ana kiranga na mwenye kiranga haliliwi.
 
Haina haja ya kusambaratisha familia ya watu,akae mbali na shemeji mtu na wala asimuoneshe hisia zozote za kumpenda,kingine atalinda maisha yake naya huyo shemeji mtu kwani yeye ni mke wa mtu halali wa ndoa.

Umenena mkuu...
 
Back
Top Bottom