Damas Exaud
Member
- Feb 12, 2022
- 13
- 10
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuasi wa kanji kindaki ndaki tena wa kudumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji115]Mkuu nakushauri uje huku kwenye betting hujalala masikini unaamka tajiri...
Kama kesho demu ya simba kuweka simba kashindye ukaweka million million mbili faida unapata million 1.4 dani ya dakika chache (90min)
Maisha yako yatabadilika kwa muda mfupi sana kuliko kujichimbia samba unasubilia uvune n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaaaMfuasi wa kanji kindaki ndaki tena wa kudumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji115]
Gunia la debe ngapi?Maharage ya njano yanalipa, gunia mpaka laki na nusu
Asante Sana kakaMaharage ya Njano na Soya yako vizuri !!! Karibu Gairo
Kwa gairo mtu unaweza kupata kiasi gani kama, mnunuzi?Maharage ya Njano na Soya yako vizuri !!! Karibu Gairo
Maharage ya Jessica debe linafika 40,000. Yanatafutwa na walaji na wazalishaji wa mbegu. View attachment 2125754Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
Sehemu gani mm tractor ni naloMaharage ya Njano na Soya yako vizuri !!! Karibu Gairo
Duuuh, Shamba lipo wapiKuna jamaa anagawa mbegu ila ulime kwenye shamba lake, mbegu bure, shamba hakukodishi, unalima mwenyewe, mazao ni yako.
Shida yake yeye ni kwamba unalima katikati ya parachichi zake hivyo unakuwa umemsafishia shamba kwa style hiyo.
Jamaa ana mbinu nzuri sanaKuna jamaa anagawa mbegu ila ulime kwenye shamba lake, mbegu bure, shamba hakukodishi, unalima mwenyewe, mazao ni yako.
Shida yake yeye ni kwamba unalima katikati ya parachichi zake hivyo unakuwa umemsafishia shamba kwa style hiyo.
Mikongo, Njombe.Duuuh, Shamba lipo wapi