Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Kuna kijiji kiko milimani kinaitwa Njungwa , pazuri sana kwa maharageSehemu gani mm tractor ni nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kijiji kiko milimani kinaitwa Njungwa , pazuri sana kwa maharageSehemu gani mm tractor ni nalo
Mazao yanaoota chini ya miti(vivuli) no dhoofu.Kuna jamaa anagawa mbegu ila ulime kwenye shamba lake, mbegu bure, shamba hakukodishi, unalima mwenyewe, mazao ni yako.
Shida yake yeye ni kwamba unalima katikati ya parachichi zake hivyo unakuwa umemsafishia shamba kwa style hiyo.
Parachichi bado ndogo ndio maana inafanyika hivyo.Mazao yanaoota chini ya miti(vivuli) no dhoofu.
Mimea inahitaji mwanga kama Upo serious