Nahitaji niingie kwenye kilimo cha maharage

Damas Exaud

Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
13
Reaction score
10
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
 
Mkuu nakushauri uje huku kwenye betting hujalala masikini unaamka tajiri... Kama kesho demu ya simba kuweka simba kashindye ukaweka million million mbili faida unapata million 1.4 dani ya dakika chache (90min)

Maisha yako yatabadilika kwa muda mfupi sana kuliko kujichimbia samba unasubilia uvune n.k
 
Mfuasi wa kanji kindaki ndaki tena wa kudumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji115]
 
Kuna jamaa anagawa mbegu ila ulime kwenye shamba lake, mbegu bure, shamba hakukodishi, unalima mwenyewe, mazao ni yako.

Shida yake yeye ni kwamba unalima katikati ya parachichi zake hivyo unakuwa umemsafishia shamba kwa style hiyo.
 
Duuuh, Shamba lipo wapi
 
Jamaa ana mbinu nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…