Nahitaji niingie kwenye kilimo cha maharage

Kuna jamaa anagawa mbegu ila ulime kwenye shamba lake, mbegu bure, shamba hakukodishi, unalima mwenyewe, mazao ni yako.

Shida yake yeye ni kwamba unalima katikati ya parachichi zake hivyo unakuwa umemsafishia shamba kwa style hiyo.
Mazao yanaoota chini ya miti(vivuli) no dhoofu.
Mimea inahitaji mwanga kama Upo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…