Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

Joseph midimu

Senior Member
Joined
Mar 8, 2024
Posts
141
Reaction score
210
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINITUKANE.
 
Kuliko uache chuo ni bora usitishe masomo kwa muda ...kilimo sio rahisi kama unavyowaza.... kwenye maisha hakikisha una plan A, plan B na plan C... unaweza kujilipua ukafanikiwa au ndio ukawa umejirudisha hatua 1000 nyuma
 
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINIT
Maliza kwanza chuo Kisha utilize akili Yako usije kulupuka Kwa kufuata mkumbo hutakuja hujutie
 
Kuliko uache chuo no bora usitishe masomo kwa muda ...kilimo sio rahisi kama unavyowaza.... kwenye maisha hakikisha una plan A, plan B na plan C... unaweza kujilipua ukafanikiwa au ndio ukawa umejirudisha hatua 1000 nyuma
Unanishauri,, niendelee kushinda njaa kwa kula mihogo.?
Kwa saivi naweza kukodi heka tatu, mbili za mpunga na moja ya mahindi.
 
Motivation speakers wameshatembelea chuoni kwenu ,Sasa naona umejaa pumzi ,unaanza kujipa Imani za kijinga .

Maliza shule achana na maneno ya hao wapika mafanikio ,utalia ,mtaani Hali si hali dogo ,wewe imagine mpaka MD kuamua kinywaji chake rasmi kiwe ulanzi usidhani kupenda Mambo yako tight kwa mtaa mdogo wangu
 
😁😁🎉😁😁,, ulishawahi kushindia mihogo ya buku masaa 24.?
Na kila muda unasoma.?
 
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINITUKANE.
Kwa hio nyie wasenge wenzenu wananyimwa mkopo wanashindwa kusoma nyie mnapewa mikopo mnawaza usenge kusoma hamtaki, hii nchi ya kisenge sana hii na hapo utakuta ni mnufaika wa TASAF qhmamayo
 
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINIT
Maliza kwanza chuo Kisha utilize akili Yako usije kulu
Mm Nina miak26 Nalima mpunga ninauzoefu wakutosha Nalima kwenye skimu kubwa ila sikushaur uwache chuo Moja Kwa Moja maliza kwanza Kisha uanze kutafuta fursa nyngne elimu na cheti ni miongoni mwa fursa pia
 
Back
Top Bottom