Joseph midimu
Senior Member
- Mar 8, 2024
- 141
- 210
Broo,, hapa nashinda njaa, nashindia mihogoπHiyo plan sio mbaya ila unaonaje ukaweka hiyo pesa ikuekue kidogo mda huo unamalizia hiyo elimu yako?
Hata mimi nilikula mihogo sana pale SUA llknsikuwa na namna japo sijapata ajira ya moja kwa moja ila nimeajiriwa. Unachotakiwa kufanya nikukaza huezi ukaamini kilimo kwa nguvu zote. Kaza kwanza ilimradi usipoteze malengo yako mashamba bado yapoBroo,, hapa nashinda njaa, nashindia mihogoπ
Maliza kwanza chuo Kisha utilize akili Yako usije kulupuka Kwa kufuata mkumbo hutakuja hujutieNAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINIT
Unanishauri,, niendelee kushinda njaa kwa kula mihogo.?Kuliko uache chuo no bora usitishe masomo kwa muda ...kilimo sio rahisi kama unavyowaza.... kwenye maisha hakikisha una plan A, plan B na plan C... unaweza kujilipua ukafanikiwa au ndio ukawa umejirudisha hatua 1000 nyuma
Unaajira saivi.?Hata mimi nilikula mihogo sana pale SUA llknsikuwa na namna japo sijapata ajira ya moja kwa moja ila nimeajiriwa. Unachotakiwa kufanya nikukaza huezi ukaamini kilimo kwa nguvu zote. Kaza kwanza ilimradi usipoteze malengo yako mashamba bado yapo
Duuuh!Maliza kwanza chuo Kisha utilize akili Yako usije kulupuka Kwa kufuata mkumbo hutakuja hujutie
Ahahahaha,, ulikutana na changamoto gani Patrick.?Niliwahi kulima mpunga aisee nusu nikimbie shamba
siku hizi nikiona wali nauheshimu mno
Ee nipo Taasisi fln hiv napambanaUnaajira saivi.?
Unaajira saivi.?
πππππ,, ulishawahi kushindia mihogo ya buku masaa 24.?Motivation speakers wameshatembelea chuoni kwenu ,Sasa naona umejaa pumzi ,unaanza kujipa Imani za kijinga .
Maliza shule achana na maneno ya hao wapika mafanikio ,utalia ,mtaani Hali si hali dogo ,wewe imagine mpaka MD kuamua kinywaji chake rasmi kiwe ulanzi usidhani kupenda Mambo yako tight kwa mtaa mdogo wangu
Kwann maajabu,, ndugu.?Umesoma miaka miwili na umebakiza mwaka mmoja halafu unataka uache chuo ili ukalime mahind! Hii ni maajabu.
Kwa hio nyie wasenge wenzenu wananyimwa mkopo wanashindwa kusoma nyie mnapewa mikopo mnawaza usenge kusoma hamtaki, hii nchi ya kisenge sana hii na hapo utakuta ni mnufaika wa TASAF qhmamayoNAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINITUKANE.
Hongera!Ee nipo Taasisi fln hiv napambana
Maliza kwanza chuo Kisha utilize akili Yako usije kuluNAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINIT
Mm Nina miak26 Nalima mpunga ninauzoefu wakutosha Nalima kwenye skimu kubwa ila sikushaur uwache chuo Moja Kwa Moja maliza kwanza Kisha uanze kutafuta fursa nyngne elimu na cheti ni miongoni mwa fursa piaDuuuh